
Rose Ndauka ambaye ni star mkubwa wa filamu Swahiliwood amesema kuwa
hajajibebea mimba hovyo hovyo kama baadhi ya watu wanavyofikiri bali
walipanga na mchumba wake Malick Bandawe ambaye ni mwanamuziki wa
Bongofleva wa kundi la TNG na alipogundua kuwa Rose ni mjamzito
alifurahi sana hivyo yeye Rose hana presha kabisa kwa hilo. Akichonga na
GPL Rose alisema...