Latest News
Loading...

BE AWARE WITH TYPES OF TILES AND THEIR USES

           TYPES OF TILES AND THEIR USES As a professional tiler, a question that is always asked what is the best tile to use. There are loads of different ones available and the right one to use depends on the application. Every job is different and every application is different. Most tiles can be used on the same application but there are guidelines to follow. Four Counties are able to cater for all types...

PICHA DIAMOND AKISHOOT TANGAZO LA COCACOLA

PICHA DIAMOND AKISHOOT TANGAZO LA COCACOLA  Ukimpigia simu na Diamond Platnumz na isipokelewe, usimind sana, sababu hafanyi makusudi, anakimbizana na schedule za kupiga hela tu. Baada ya jana Cocacola kumchukulia private jet toka Nairobi hadi Dar es Salaam, Bongo Flava Prince, Nasib ameingia mzigoni kushoot tangazo jipya la Cocacola. Kwenye picha za utengenezaji...

Huu ndio ushahidi wa picha aliotoa Jennifer Kyaka (Odama),kuhusu yeye kwenda nchi za nnje

Huu ndio ushahidi wa picha aliotoa Jennifer Kyaka (Odama),kuhusu yeye kwenda nchi za nnje Kufuatia wadau mbalimbali  kuhoji kuhusu uhalisia wa safari za mwigizaji Jennifer Kyaka (Odama) kwenda ulaya ambaye picha zake kadhaa zilizotolewa mtandaoni wiki chache zilizopita zikimtuhumu kuwa huwa haendi nje ya nchi bali anakuwepo nchini kwa lengo la kutafuta “kiki”...

IRENE UWOYA AMPONGEZA JOHARI KWA KUVISHWA PETE YA NDOA

IRENE UWOYA AMPONGEZA JOHARI KWA KUVISHWA PETE YA NDOA MSANII wa filamu za Bongo, Irene Uwoya amempongeza staa mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’ kwa kutumbukiza picha kwenye Instagram ikimuonesha amevaa pete ya ndoa kwenye kidole husika. Uwoya, baada ya kuona picha hiyo akatupia ujumbe wake akisema: Hongera mama kwa kupata mwenzako…maaama. Wadau mbalimbali nao...