Huu ndio ushahidi wa picha aliotoa Jennifer Kyaka (Odama),kuhusu yeye kwenda nchi za nnje
Kufuatia wadau mbalimbali kuhoji kuhusu uhalisia wa safari za mwigizaji
Jennifer Kyaka (Odama) kwenda ulaya ambaye picha zake kadhaa
zilizotolewa mtandaoni wiki chache zilizopita zikimtuhumu kuwa huwa
haendi nje ya nchi bali anakuwepo nchini kwa lengo la kutafuta “kiki” na
kutengezeza picha hizo kwa program maalumu ya kompyuta, hatimaye jana
kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliweka picha zake mpya zinazomuonesha
akiwa nchini Qatar katika maduka mbalimbali na kwenye uwanja wa ndege wa
nchi hiyo.
Picha hizi zimekuja kama ushahidi na majibu ya mwaswali yaliyokuwa yakiulizwa na wadau wengi kuhusu mwanadada huyu.
Picha hizi zimekuja kama ushahidi na majibu ya mwaswali yaliyokuwa yakiulizwa na wadau wengi kuhusu mwanadada huyu.
Soma zaidi: http://mwanahabariuswazi.blogspot.com/2013/07/huu-ndio-ushahidi-wa-picha-aliotoa.html#ixzz2avo2Rdx0
0 comments:
Post a Comment