Mchezaji wa timu ya taifa ya England Dele Alli amesaini mkataba mpya wa miaka 6 wakuendelea kubaki katika klabu ya Tottenham Hotspur.
Alli,20, anakuwa amefuata nyayo za Christian Eriksen,Eric Dier,Harry Winks na Tom Carroll ambao hivi karibuni walisaini mikata mipya ya kuendelea kuitumikia Spurs huku Danny Rose,Jan Vertongen na Erik Lamela wameripotiwa kuwa wapo katika mazungumzo ya kusaini kandarasi mpya.
0 comments:
Post a Comment