Latest News
Loading...

Didier Drogba akizozana na mashabiki wa New York Red Bulls

Mchezaji Didier Drogba, ambaye anachezea timu ya Montreal inayoshiriki MLS jana walipoteza mechi kwa kufungwa goli 1-0 dhidi ya New York Red Bulls.
38c6380300000578-0-image-a-45_1474796863629
38c6381400000578-0-image-a-46_1474796873313
Mchezo huo ulivyo malizika Didier Drogba alionekana akiwa katika vita ya kurushiana maneno na baadhi ya mashabiki wa Red Bulls na walinzi kuingilia kati ugomvi huo.
38c6383800000578-0-image-a-47_1474796878312
Drogba huu ni msimu wake wa pili MLS, baada kuhojiwa alisema kuwa kilikuwa si kitu kikubwa “Kulikuwa kuna mashabiki wawili waliokuwa na shauku kubwa sana, walivuka mipaka, ilikuwa hivyo tu” alisema Drogba.
Drogba hadi saivi amesha funga magoli 21 katika mechi 32 alizocheza tangu ajiunge na Montreal mwaka 2015.

0 comments:

Post a Comment