Mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Ivory Coast, Eric Bailly atakuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili baada ya kuumia goti.
Hili ni pigo kwa Jose Mourinho ambaye Bailly amekuwa ni beki tegemezi katika kikosi chake cha United.
Bailly atakapo rejea uwanjani baada ya miezi hiyo miwili, huenda akaenda kujiunga na timu yake ya taifa katika michuano ya AFCON.
0 comments:
Post a Comment