Aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kupitia chama cha NCCR -Mageuzi, David Kafulila, amewasilisha pingamizi katika Mahakama Kuu Kanda ya Tabora, kupinga ushindi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hasna Mwilima.
Akizungumza na mtandao huu jana baada ya kuwasilisha pingamizi hilo, Kafulila alisema amefungua kesi hiyo namba 2 ya mwaka 2015 ya uchaguzi, akiwalalamikia Mwilima, msimamizi wa uchaguzi ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Uvinza na Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Alisema kesi hiyo itasimamiwa na mawakili wawili, Tundu Lissu na Daniel Lumengela, huku hoja ya msingi katika shauri ikiwa ni kupinga matokeo yaliyotangazwa na msimamizi wa uchaguzi ambayo anadai si halali kwani kutokana na fomu 382 za vituoni na kusainiwa na wasimamizi na mawakala, alipata kura zaidi ya 34,000 dhidi ya 32,000 za mpinzani wake (Mwilima).
Latest News
Loading...
Home »
» KAFULILA ATINGA MAHAKAMANI KUPINGA USHINDI WA MPINZANI WAKE WA CCM
KAFULILA ATINGA MAHAKAMANI KUPINGA USHINDI WA MPINZANI WAKE WA CCM
Related Posts:
CUF Yatangaza Rasmi kutomtambua Rais Dkt. Shein na Serikali yake.....Tamko lao Liko Hapa MAAZIMIO YA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA LA CHAMA KATIKA KIKAO CHAKE CHA TAREHE 2 – 3 APRILI, 2016 KILICHOFANYIKA MAZSONS HOTEL, MJINI ZANZIBAR Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la THE CIVIC UNITED FRONT (CUF – Chama Cha … Read More
Rais Magufuli Afuta Sherehe za Maadhimisho ya Muungano Mwaka Huu....Aagiza Fedha Zilizokuwa Zimetengwa Zitumike Kupanua Barabara ya Mwanza- Airpot Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameahirisha Shamrashamra za maadhimisho ya siku ya Muungano kwa mwaka huu, ambayo huadhimishwa kila tarehe 26 ya Mwezi Aprili, na badala yake ameelekeza k… Read More
Muimbaji Huyu wa Tanzania Aigiza Kwenye Msimu Mpya wa Tamthilia ya Empire Tamthilia ya Empire iliyojikusanyia mashabiki wengi duniani, Jumatano iliyopita ilirejea tena katika msimu wake wa tatu.Katika msimu huo, muimbaji wa Tanzania aishiye Marekani, Koku Gonza ameshiriki. Koku anaonekana kwenye … Read More
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya April 5 … Read More
Uhuru Kenyatta Ashupalia Ujenzi wa Bomba la Mafuta Toka Uganda hadi Tanzania.....Aenda Ufaransa kukutana na viongozi wa Total Ili Kuwaomba Lipite Kenya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliondoka nchini mwake jana asubuhi kwenda Ufaransa na Ujerumani kwa ziara ya kazi ambayo pamoja na mambo mengine itahusisha suala la ujenzi wa bomba la mafuta kuto… Read More
0 comments:
Post a Comment