Latest News
Loading...

WEMA KUJITABILIA KIFO!!!!!!


Baada ya Wema Sepetu Kutoa Misaada kwa Watoto wa Yatima wa Kituo cha Good Hope Orphanage in Usa-River Arusha..Aliandika Maneno haya kwa Uchungu kwenye ukurasa wake wa Instagram:

"Kumbuka kwamba kuna kifo... Iko siku utaitwa Marehemu.... Put that in your head... Im thinking my day is soon.... Alhamdulillah for everything tho...."

Je Unadhani Kwanini Kaandika Hivyo ?

0 comments:

Post a Comment