Latest News
Loading...
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya April 11
Related Posts:
Watu Watano Wafariki Dunia Jijini Dar Kwa Kuangukiwa Na Kifusi. Watu watano wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa, baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuangukiwa na kifusi na mti wakiwa wamelala, ajali hiyo ilisababishwa na kupasuka kwa karo la majitaka la nyumba ya jirani… Read More
Mbunge wa Zamani na Moshi Vijijini (CCM) Apandishwa Kizimbani Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Thomas Ngawaiya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na shtaka la kujenga hoteli kwa kutumia makandarasi wasiosajiliwa. Ngawaiya ambaye aliwahi… Read More
Mtoto wa Miaka saba Ajinyonga kwa kamba Mtoto George Elias (7) amekutwa amekufa kwa kujinyonga kwa kamba ya katani katika Kijiji cha Buganzu, Kata ya Uyovu wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita, tukio linalodaiwa kusababishwa na michezo ya kitoto. Baba wa mtot… Read More
Hamad Rashid: Serikali ya Muungano isibabaishwe na wahisani Mjumbe wa Kuteuliwa wa Baraza la Wawakilishi, Hamad Rashid (ADC) ametaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutobabaishwa na nchi washirika wa maendeleo kwa kususa misaada yao kwa kile alichosema, nafasi ipo … Read More
Viongozi CUF washutumiwa kwa kukosa uzalendo Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamekishiutumu Chama cha Wananchi (Cuf) pamoja na viongozi wao kwa kukosa uzalendo kutokana na kauli zao za kuunga mkono wahisani kuisitishia misaada Tanzania. Hayo yalise… Read More
0 comments:
Post a Comment