Msanii wa filamu Irene Uwoya amesema hakupenda kabisa kujifungua kwa upasuaji lakini ilimbidi afanye hivyo ili kuokoa maisha yake pamoja naya mwanaye.
Muigizaji huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwae Krish, amekiambia kipindi cha Uhondo cha EFM kuwa wakati anaelekea hospitali kucheki afya yake na maendeleo ya mimba yake, hakujua kama ndio siku ambayo angejifungua kwa kuwa hakuwa na dalili yoyote.
“Kwanza nilikuwa sipo Tanzania, nilikuwa na siku moja toka nirudi, so kesho yake nikaenda hospitali kuangalia mimba inaendeleaje. Kiukweli namshukuru Mungu sikuwahi kusikia maumivu ya uchungu, nikaenda pale Regency, kwa hiyo dokta kuniangalia tu akasema mtoto anachungulia wewe unatembeaje?, nikamwambia mimi sijui na hapo nimevaa kiatu kirefu kweli, akaniambia toa viatu mtoto anachungulia,” alisimulia Irene.
“Wakanifanyia vipimo, lakini baadaye wakaniambia huwezi kujifungua kawaida, njia ndogo kwa hiyo inabidi tukufanyie upasuaji. Kiukweli nilitamani kujifungua kawaida. Lakini nikikumbuka ile siku nakumbuka kile chumba kilivyotisha, kitu ambacho nakumbuka sana ni ganzi, walikuwa kila wakipiga inakataa, ikabidi nifanyiwe upasuaji hivyo hivyo, yaani nilipata maumivu makali mpaka nikawa naweweseka nahisi niko Paris kwa sababu kila walichokuwa wanakifanya nilikuwa nakisikia,” aliongeza Irene.
Latest News
Loading...
Hivi Ndivyo Irene Uwoya Alivyojifungua Kwa Upasuaji Bila Ganzi
Related Posts:
Mbaroni Kwa Kutuhuma za Kumbaka Mwanafunzi wa Miaka Kumi na Mbili.. Jeshi la Polisi mkoani Pwani linamshikilia mmoja wa maofisa wa Tarafa wa Kibiti kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa kike mwenye miaka 12 mkazi wa kitongoji cha Kibiti kati wilayani hapa.Akithibitisha kushikiliwa kwa … Read More
Tazama takwimu ya redio na runinga zinazocheza nyimbo nyingi Tanzania Kampuni ya kusimania haki miliki za wasanii, Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) Jumanne hii imetoa takwimu ambazo zinaonyesha ni redio gani na runinga nchini ambazo zinaongoza kucheza nyimbo nyingi kuliko matan… Read More
TAZAMA VIDEO Jinsi Wenje Alivyolipuaga Ufisadi wa Wilson Kabwe Mwanza...Lakini Hakuna Hatua iliyochukuliwa...Leo Kailiza Dar Pia Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam aliyesimamishwa kazi Jana, Wilson Kabwe kumbe alishawahi kutuhumiwa na Ufisadi mwingine alioufanya Jijini Mwanza, Tuhuma hizo zilitolewa na Wenje aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana kipi… Read More
Mkurugenzi wa Jiji La Dar es Salaam Wilsoni Kabwe Afunguka mazito,,,,.Baada ya Kutumbuliwa Jipu Laivu Darajani na Magufuli.. Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe amesema uchunguzi wa tuhuma zilizomfanya Rais John Magufuli kumsimamisha kazi jana utabainisha ukweli huku akihoji; “ikiwa itabainika kwamba nilionewa nitalipwa fidia?” A… Read More
Rais Magufuli Ampaisha Dr. Ramadhani Dau wa NSSF.....Ammwagia Sifa kwa Kazi Nzuri, Azima Ndoto za Wabaya wake "Kabla sijaanza kuhutubia, naomba nimkaribishe mtu muhimu sana aliyefanikisha ujenzi wa Daraja hili. Dkt Dau tafadhali karibu usalimie kidogo’’. Ndivyo alivyoanza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Mag… Read More
0 comments:
Post a Comment