Tamthilia ya Empire iliyojikusanyia mashabiki wengi duniani, Jumatano iliyopita ilirejea tena katika msimu wake wa tatu.
Katika msimu huo, muimbaji wa Tanzania aishiye Marekani, Koku Gonza ameshiriki. Koku anaonekana kwenye scene moja akimfundisha Hakeem kucheza piano.
Mfahamu zaidi kwa historia yake hapo chini.
Koku Gonza, the daughter of a Tanzanian folk singer, has shared the stage with an eclectic range of her influences. She has opened for Saul Williams, Roy Ayers, Anthony David, Yahzarah, Eric Roberson to name a few. As an Indie artist, Koku Gonza composed,arranged and performed all vocals, as well as played the guitar on all of her albums. Her song, L.O.V.E. serves as the lead single from her studio album Radiozophrenic released in 2011. L.O.V.E. debuted on BET International, Channel O, and other media outlets that feature breakout artists. In July 2012, Koku Gonza completed her first music tour in France. She performed in 11 cities in Southern France, and received rave reviews from various French media outlets like Soul Bag Magazine and +D’Afrique.
Koku Gonza’s music has been compared to the late legends Bob Marley and Mama Africa-Miriam Makeba as contemporary artists like Sade, Corrine Rae Bailey and Lianne La Havas. Koku Gonza’s music is parallel to the translation of her Kihaya name, which means lovely. She applies love, soul and passion into the ingredients of her genre-defiant pallet in new project Love Culture. Recently she released her latest single and music video for her song Clearest Sky. Clearest Sky is from her self-produced album Love Culture. Love Culture features international jazz bassist and composer Lonnie Plaxico and other great musicians on her self-produced indie project.
Latest News
Loading...
Muimbaji Huyu wa Tanzania Aigiza Kwenye Msimu Mpya wa Tamthilia ya Empire
Related Posts:
Sheikh Afungwa Jela Miaka 30 kwa Kubaka Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemhukumu Sheikh wa Msikiti wa Goma, Hassan Bamba (48), kifungo cha miaka 30 jela, baada ya kukutwa na hatia ya kubaka.Sheikh huyo alifikishwa mahakamani hapo kwa tuhuma za kumbaka m… Read More
Jeshi la Tanzania JWTZ Walioko Kongo Watajwa Kuwa Kati ya Majeshi 35 Bora Duniani.... HONGERA JWTZ KWA KUTOA KIKOSI BORA NA MADHUBUTI CHA KIJESHI DUNIANIMajarida mbalimbali duniani yamechapisha makala juu ya vikosi 35 bora zaidi vya jeshi duniani huku kikosi cha JWTZ Monusco kilichoko Jamhuri ya Kidemokrasia… Read More
Gardner G. Habash kaonyesha gari lake jipya siku sita baada ya mkataba mpya Mtangazaji Gardner G.Habash amerejeaCloudsFM toka alipoacha kuifanyia kazi December 2010, sasa amerudi na kupewa mkataba mpya kuifanya show ileile ya JAHAZI kuanzia saa kumi mpaka moja jioni CloudsFM na ataan… Read More
Clouds FM Yaendeleza Nyakua Nyakua ya Watangazaji na Madj..Wamewachukua Hawa East Africa Radio Ile Vuta N’kuvute ya vituo vya redio inaendelea na sasa East Africa Radio imekuwa mhanga mpya.Dj wa kike, Sinyorita na mtangazaji wa The Cruise, Mami wanadaiwa kuondoka East Africa Radio kuanzia wiki hii baada ya kupata dau… Read More
Jerry Muro Afunguka Haya Kuhusu Rais John Pombe Magufuli Baada ya Kumfuta Kazi Anne Kilango Msemaji wa Timu ya Yanga amefunguka kuhusu Rais Magufuli mara tu baada ya kutengua Ukuu wa Mkoa wa Anne Kilango huko Shinyanga....Ameandika haya katika mtandao wake:"Huyu ndie Rais ambae Mungu amemsisha katika taifa la Tan… Read More
0 comments:
Post a Comment