Latest News
Loading...

VIDEO: JIBU LA KLOPP ALIPOULIZWA KUHUSU LIVERPOOL KUTWAA UBINGWA WA EUROPA LEAGUE

Klopp
Jurgen Klop alikuwa ni mwenye hisia kali baada ya kikosi chake kufanya maajabu ya kutoka nyuma na kuichapa klabu yake ya zamani Borussia Dortmund kwa mabao 4-3 na kufuzu kucheza nusu fainali ya Europa League kwa jumla (aggregate) ya magoli 5-4
Wakati anafanyiwa interview na kiuo cha BT Sport mara baada ya mchezo kumalizika, Jurgen Klopp alifanya ‘blunder’ kwa kukosea kuongea na kuwaacha hoi mamilioni ya mashabiki waliokuwa wakishuhudia mahojiano hayo.
Mtangazaji: “You’re close to winning the trophy now…”
Klopp: “Please don’t ask me this s***.”
Angalia video wakati Klopp akihojiwa baada ya mchezo kumalizika na majibu aliyoyatoa alipoulizwa kuhusu kutwaa ubingwa wa Europa League.

0 comments:

Post a Comment