Kama umesoma[au unasoma], kwa lengo la kuja kupata pesa; unaweza kuja kujidharau na kuwa "disappointed". Kwa sababu huku mtaani kuna watu ni ama la saba au hata la saba hawakumaliza lakini ndio wanaoongoza kumiliki pesa za kutisha. Ukipata nafasi ya kusoma; soma kwa bidii, lakini ni vema ukatambua kuwa [fedha za maana] ni nadra sana kukaa kwenye vyeti. Vyeti vikijitahidi sana vitaishia kukupa pesa ya kubadilishia mboga. Akili inayokupa vyeti madarasani ni tofauti kabisa na akili inayotumika mtaani katika utafutaji wa pesa! #SmartMind
Latest News
Loading...
Home »
KITAIFA
» Kama Umesoma au Unasoma Kwa Lengo la Kuja Kupata Pesa; Unaweza Kuja Kujidharau na Kuwa 'Disappointed'
Kama Umesoma au Unasoma Kwa Lengo la Kuja Kupata Pesa; Unaweza Kuja Kujidharau na Kuwa 'Disappointed'
Related Posts:
VIDEO: Gari lililozama Baharini Kivukoni Dar es salam April 20 2016 April 20 2016 gari aina ya Toyota Hiace lililokuwa ndani ya Pantoni kuelekea Kigamboni Dar es salaam liliserereka na kuzama baharini ambapo inasadikiwa lilikuwa na watu wawili, uokoaji ulifanyika ambapo asubuhi jeshi la zi… Read More
Mazito yazidi fichuka dhidi ya Anne Kilango, Baada ya Idadi ya Watumishi Hewa Shinyanga Kuongezeka Hadi 226 Rais John Magufuli ameendelea kumng’ang’ania aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango baada ya kusema idadi ya watumishi hewa katika mkoa huo imeongezeka kutoka 45 hadi 226.Aprili 11, Rais Magufuli alitengua uteuz… Read More
TUCTA Yapinga Mpango wa Rais Magufuli Kukata Mishahara ya Watumishi wa Umma Kutoka Milioni 40 hadi 15 Kwa Mwezi Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Tucta) limepinga mpango wa Rais John Magufuli wa kukata malipo ya mishahara ya watumishi wa umma kutoka Sh40 milioni kwa mwezi hadi Sh15 milioni. Akizungumza na viongozi wa… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla Aonja Moto wa UKAWA.....Madiwani 34 Wakiongozwa na Meya wao Wasusia Kikao chake cha Kujitambulisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla amekumbana na joto la Mbeya baada ya meya wa jiji hilo, Mchungaji David Mwashilindi na madiwani wake 34 kususia kikao chake cha kujitambulisha kwa wananchi, baada ya kudaiwa kwenda … Read More
Dereva Afa Maji Akijaribu Kuvuka Mto Kwa Kutumia Gari, Morogoro Dereva tax aliyejulikana kwa majina ya Shakiru Hashimu mkazi wa Mdaula Ngerengere mkoani Morogoro amekufa maji baada ya kusombwa akiwa ndani ya gari wakati akijaribu kuvuka mto Ngerengere.Dereva huyo alikuwa akivuka mto hu… Read More
0 comments:
Post a Comment