Latest News
Loading...

Kimenuka tena, Zari amshambulia Snapchat mwanamke aliyeacha heleni chumbani kwa Diamond

First Lady wa Madale, Zari The Bosslady ametupa tena jiwe gizani.
14134880_329091600762078_569658740_n
Awamu hii ni kwa mwanamke ‘fumbo’ ambaye anadai aliacha heleni zake katika chumba chake – hajasema ni kipi lakini ni wazi ni chumba cha Diamond, Madale kwakuwa yupo mjini.
14359595_298147647221239_3476153015335911424_n
Posts hizo za Zari zinaendelea kuziongeza nguvu tetesi za muda mrefu za usaliti katika uhusiano wao na huenda ameamua kuzoea na kuamua kupigania tu nafasi yake. Ujumbe wake una mafumbo na madongo mengi lakini ni wazi kuwa amani itakuwa imechafuka kidogo kwa couple hiyo yenye nguvu Afrika Mashariki.
7d4c1f45-d018-4c00-9a51-a51aaed6561d
646dbec1-6a65-45cd-b11c-410c7d3cd639

0 comments:

Post a Comment