Mbunge wa Konde, Khatibu Saidi Haji (CUF) amezua vicheko bungeni baada ya kuuliza swali ambalo linalohoji tafiti zinaonyesha kwamba wanaume waliotahiriwa wanakuwa active zaidi na wananogesha zaidi yale mambo (mapenzi).
Mbunge Khatibu ameuliza swali hilo leo bungeni mjini Dodoma, ambapo spika Ndugai alipinga kuwa hilo sio swali “hilo nalifuta sio swali sio swali” amesema Spika Ndugai.
“Tafiti zinaonyesha kwamba wanaume waliotahiriwa wanakuwa active zaidi na wananogesha zaidi yale mambo, Je Mhe. Spika katika hali hiyo wabunge wanawake kupitia bunge hili mtoe kidogo ushahidi wa haya wanaume waliokuwa hawajatahiriwa waige mfano huo?
alihoji Mbunge Khatibu.
Latest News
Loading...
Home »
KITAIFA
» Wabunge Wanawake Kutoa Ushahidi wa Wanaume Waliotahiriwa Wanavyonogesha Tendo la Ndoa
Wabunge Wanawake Kutoa Ushahidi wa Wanaume Waliotahiriwa Wanavyonogesha Tendo la Ndoa
Related Posts:
Lowassa Auponda Uongozi wa Rais Magufuli.......Asema Uongozi wake ni wa Hamasa na Umaarufu wa Muda Mfupi Siku 155 baada ya Dk John Magufuli kuapishwa kuwa Rais, aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema katika uchaguzi huo, Edward Lowassa ametaja mambo matano yanayomfanya autilie shaka mustakabali wa Taifa chini ya uongozi … Read More
Serikali yaandaa mpango wa ajira kwa vijana nchini Serikali imeanzisha mpango maalumu wa mafunzo kwa wahitimu kutambua ujuzi katika sekta zisizo rasmi, ili kuwajengea vijana wigo mpana wa ajira kwa fani walizosomea. Mpango huo unalenga kutoa mafunzo ya ufundi katika… Read More
Rais Magufuli ashiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 22 ya mauaji wa Kimbari nchini Rwanda Your text goes here... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishuhudia wenyeji wao Rais Paul Kagame na Mama Janeth Kagame pamoja na binti yao wakiwek… Read More
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella Atoa Masaa 48 Kwa Watumishi Kuhamia Maeneo yao Ya Kazi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela ametoa saa 48 kuanzia leo kwa Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Misungwi ambao wana makazi yao Mwanza mjini kuhamia mara moja kwenye maeneo ya kazi. Mongela alitoa agizo hilo … Read More
Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Ambaye Pia ni Dada yake Tundu Lissu Afariki Dunia Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Christina Mughwai Lissu amefariki dunia kwa ugonjwa wa saratani jana. Kaka wa marehemu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu alituma taarifa kwenye mitandao… Read More
0 comments:
Post a Comment