Afro-pop star Orezi has released the music video for his new single “Double Your Hustle”.
The video was directed by Paul Gambit and features cameo appearances from top African celebrities like Kcee, Harrysong , Uti , Solidstar and more.
Watch below.
Latest News
Loading...
New Video: Orezi – Double Your Hustle
Related Posts:
Young Killer kufunga ndoa muda wowote Rapper Young Killer Msodoki amesema muda wowote kuanzia sasa atafunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Halimaty. Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Young Killer amesema kila kitu kipo tayari na siku yoyote atafunga ndoa. … Read More
Video: Motra The Future Ft. Ruby – One Day Rapper Montra ameachia video mpya ya wimbo ambao unaitwa “One Day”, amemshirikisha Mwanadada Ruby. Video imeongozwa na Pascal Katambo. … Read More
Chris Brown na Wizkid kutumbuiza Mombasa, Oktoba 8 Chris Brown na Wizkid wanatarajiwa kutumbuiza pamoja kwenye tamasha la Mombasa Rocks Music Festival nchini Kenya, Oktoba 8, mwaka huu. Hiyo itakuwa si mara ya kwanza kwa wasanii hao kutumbuiza pamoja kwani mwezi Juni, mwa… Read More
Aunt Ezekiel awajibu wanaodai anajipendekeza kwa Zari ‘kwani yule si bosi wa mkata viuno wangu’ Malkia wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Aunt Ezekiel amewamind mashabiki katika mitandao ya kijamii ambao wanadai anajipendekeza kwa mama watoto wa Diamond, Zari, baada ya hivi karibuni kuonekana akila nao bata pamoja. Mwi… Read More
Mama Diamond ampongeza Wema kwenye birthday yake baada ya kumkaushia Zari Mama Diamond, Bi Kendrah, amemtonesha mchumba wa mwanae, Zari pale panapomuuma zaidi. Amempongeza ex wa Diamond, Wema Sepetu katika birthday yake, Jumatano hii, Septemba 28, siku chache tu baada ya kumkaushia Zari kwenye … Read More
0 comments:
Post a Comment