For info; nyakireri2016@gmail.com
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Iringa, Sinkala Mwenda amepata ajali jioni ya leo eneo la Tanangozi.Amekimbizwa hospitali lakini kafariki dunia usiku huu.
0 comments:
Post a Comment