Video mpya ya msanii Hans J wimbo unaitwa “Jiandae”, Video imeongozwa na Khalfani.
Latest News
Loading...
Video: Hans J – Jiandae
Related Posts:
Mama Diamond ampongeza Wema kwenye birthday yake baada ya kumkaushia Zari Mama Diamond, Bi Kendrah, amemtonesha mchumba wa mwanae, Zari pale panapomuuma zaidi. Amempongeza ex wa Diamond, Wema Sepetu katika birthday yake, Jumatano hii, Septemba 28, siku chache tu baada ya kumkaushia Zari kwenye … Read More
Video: Motra The Future Ft. Ruby – One Day Rapper Montra ameachia video mpya ya wimbo ambao unaitwa “One Day”, amemshirikisha Mwanadada Ruby. Video imeongozwa na Pascal Katambo. … Read More
Mke wa mtu amponza Tunda Man Msanii wa Tip Top Connection, Tunda Man ameshindwa kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Mwanaume Suruali’ baada ya kumtumia mke wa mtu kama video queen. Muimbaji huyo ambaye bado anafanya vizuri na wimbo ‘Mama Kijacho’, ameia… Read More
Young Killer kufunga ndoa muda wowote Rapper Young Killer Msodoki amesema muda wowote kuanzia sasa atafunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Halimaty. Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Young Killer amesema kila kitu kipo tayari na siku yoyote atafunga ndoa. … Read More
Aunt Ezekiel awajibu wanaodai anajipendekeza kwa Zari ‘kwani yule si bosi wa mkata viuno wangu’ Malkia wa filamu na mama wa mtoto mmoja, Aunt Ezekiel amewamind mashabiki katika mitandao ya kijamii ambao wanadai anajipendekeza kwa mama watoto wa Diamond, Zari, baada ya hivi karibuni kuonekana akila nao bata pamoja. Mwi… Read More
0 comments:
Post a Comment