September 23 2016 Diamond Platnumz aliingia kwenye headlines baada ya kupost Nyumba ambayo aliandika kuwa ni zawadi kuwa Mpenzi wake ambaye ni Mrembo Zari, Baada ya Diamond Platnumz kupost Nyumba hiyo ambayo iko South Africa zimepita siku saba na amehojiwa na kipindi cha Weekend Chat Show na kazitaja Gharama alizonunulia Nyumba hiyo.
Latest News
Loading...
VIDEO: Diamond Platnumz ametaja gharama alizonunulia Nyumba South Afrika
Related Posts:
Picha: Diamond na Zari waendeleza bata lao Zanzibar Zanzibar kwa wenye fedha zao huweza kugeuka kuwa paradise iliyo chini ya jua. Kwa Diamond, Zanzibar imekuwa ni sehemu muhimu pindi anapotaka kumpeleka mapumzikoni mchumba wake, Zari. Kwa dhoruba kadhaa zilizojaribu kulipi… Read More
Masanja asema Orijino Komedi imemalizana na polisi, ni issue ya kuvaa sare za polisi Baada ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kuwakamata baadhi ya wasanii wa Kundi la Orijino Komedi kwa kosa la kuvaa mavazi yanayoshabihiana na sare za polisi, mmoja wa wasanii wa kundi hilo, Masanja Mkandamiza… Read More
Video: Wema Sepetu aitimua team Wema, ‘mnaniharibia maisha yangu’ Malkia wa filamu Wema Sepetu ameitimua team Wema katika mitandao ya kijamii kwa madai wao ndio chanzo cha matatizo mengi katika maisha yake. Mwigizaji huyo amedai amekuwa hana amani kwa ajili ya team Wema. “Sasa mimi naomb… Read More
PICHA: Diamond kaonesha nyumba yao na Zari Afrika Kusini Diamond Platnumz ameingia kwenye headlines tena baada ya kupost nyumba kwenye instagram yake leo September 23 2016 ambayo ni siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake Zariambayo amemfanyia kama suprise ali… Read More
Kimenuka tena, Zari amshambulia Snapchat mwanamke aliyeacha heleni chumbani kwa Diamond First Lady wa Madale, Zari The Bosslady ametupa tena jiwe gizani. Awamu hii ni kwa mwanamke ‘fumbo’ ambaye anadai aliacha heleni zake katika chumba chake – hajasema ni kipi lakini ni wazi ni chumba cha Diamond, Madale kwa… Read More
0 comments:
Post a Comment