Mtu wangu September 30 2016 zimehappen stori nyingi sana nisingependwa upitwe na hii story iliyotokea Kenya, Kituo cha Citizen cha Nchini Kenya kimeripoti kutokea kwa taarifa za Baba mzazi kumkata mtoto wake mikono kutokana na baada ya mtoto huyo kudaiwa kuiba Mirungi shambani.
Nikawaida yangu kukusogezea story zote ambazo zinatoke kwenye mitandao ya kijamii Tv stations na sehemu mbalimbali na nimekusigezea video ya mkasa huo uliotokea nchini keny unaweza kuitazama hapa chini.
‘Alinitoa hapo kwenye njia na Baba yangu ndio aliyenikata mkono wangu lakini alipokuwa akiondoka watu wengine wakamfuata na kumwambia sijakatika mkono ndio Baba aliporudi nakunimalizia kunikata mkono wangu‘
0 comments:
Post a Comment