Siku hizi kila kitu kina rekodi zake, kama wanatuambia mpaka idadi ya Tembo walioko Afrika hawawezi kushindwa kutuambia viwanja vya ndege vinavyoongoza kwa kupokea au kupitisha abiria wengi zaidi duniani.
NAMBA 10: Dallas Fort Worth uwanja upo Marekani na mwaka 2015 ulipitisha abiria milioni 64.
NAMBA 9: Paris Charles de Gaulle Airport Ufaransa ulipitisha abiria zaidi ya milioni 65
NAMBA 9: Paris Charles de Gaulle Airport kwa ndani Ufaransa ulipitisha abiria zaidi ya milioni 65
NAMBA 8: Hong Kong International ambao una sifa ya kupitisha tani kwa tani za mizigo, ulipitisha zaidi ya abiria milioni 68
NAMBA 7: Los Angeles International Airport Marekani, ulipitisha zaidi ya abiria milioni 74 mwaka 2015.
Las Angeles hiyo kwa ndani…
NAMBA 6: London Heathrow Airport ulipitisha zaidi ya abiria milioni 74.9
NAMBA 5: Tokyo Haneda Airport Japan na rekodi yake ni abiria milioni 75.
NAMBA 4: Chicago O’Hare International Airport Marekani
NAMBA 3: Uwanja wa ndege wa Dubai ambao ulishika namba 6 mwaka 2014 umezidi kusogea na kushika namba 3 mwaka 2015
NAMBA 2: BEIJING CAPITAL INTERNATIONAL AIRPORT CHINA ambapo abiria waliopita hapa mwaka 2015 ni milioni 89.9 na walitarajiwa kuwa wa kwanza mwaka 2015 sema hawajazifikia rekodi za uwanja namba 1
NAMBA 1: Uwanja wa Atlanta Hartsfield Jackson International ambao ulipitisha abiria milioni 100 kwa mwaka 2015 na kubaki namba 1 ileile ya mwaka 2014 kama Airport iliyokua busy kuliko zote duniani.ULIKOSA KUONA DARAJA JIPYA LA KIGAMBONI? JUU YA BAHARI DAR ES SALAAM? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI… LINAANZA KAZI MWEZI HUU.
Latest News
Loading...
Home »
KIMATAIFA
» Pich: Tazama viwanja 10 vya ndege duniani vilivyopitisha abiria wengi zaidi mwaka 2015
Pich: Tazama viwanja 10 vya ndege duniani vilivyopitisha abiria wengi zaidi mwaka 2015
Related Posts:
Hizi ni Simu zitakazokosa Huduma ya Whatsapp... Huduma ya WhatsApp haitatumika tena katika simu zinazotumia mifumo kadha ya programu ikiwemo Blackberry 10, Nokia Symbian S60 na Windows Phone 7.1.Kampuni ya Facebook inayomiliki huduma hiyo imesema inataka kuangazia kust… Read More
Pich: Tazama viwanja 10 vya ndege duniani vilivyopitisha abiria wengi zaidi mwaka 2015 Siku hizi kila kitu kina rekodi zake, kama wanatuambia mpaka idadi ya Tembo walioko Afrika hawawezi kushindwa kutuambia viwanja vya ndege vinavyoongoza kwa kupokea au kupitisha abiria wengi zaidi duniani.NAMBA 10: Dalla… Read More
Fuel Scarcity: Ifeanyi Ubah’s Capital Oil commences 24-Hour Loading | Promises to end Fuel Queues According to a message sent out by Capital Oil and Gas to their customers and Nigerians, they aim at ending the fuel queues in a couple of days and have commenced 24-hour loading.See the text below.This is to inform our valu… Read More
Uhuru Kenyatta Ashupalia Ujenzi wa Bomba la Mafuta Toka Uganda hadi Tanzania.....Aenda Ufaransa kukutana na viongozi wa Total Ili Kuwaomba Lipite Kenya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliondoka nchini mwake jana asubuhi kwenda Ufaransa na Ujerumani kwa ziara ya kazi ambayo pamoja na mambo mengine itahusisha suala la ujenzi wa bomba la mafuta kuto… Read More
Buhari Bans Top Government Officials from Flying First Class on Official Trips Nigeria’a Minister of Finance, Kemi Adeosun, through her media adviser Femi Adekanbi, has revealed that the President has banned ministers and other top government officials from flying first class while they trave… Read More
0 comments:
Post a Comment