Latest News
Loading...
BREAKING NEWS: Kamati ya Nidhamu TFF Yawatolea Tamko Msuva, Chirwa NA Kaseke
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemkuta na makosa ya utovu wa nidhamu aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga anayekipiga nchini Morocco, Simon Msuva ambaye imempa onyo kali la barua.
Mbali na Msuva, wengine waliokuwa wakijadiliwa na kamati hiyo kwa utovu wa nidha kwenye michezo ya mwisho ya Ligi Kuu Tanzania Bara ni Obrey Chirwa (Yanga) na Deus Kaseke (Yanga) ambao wamesamehewa.
Related Posts:
VIDEO: Baada ya mechi 9 dhidi ya Chelsea, Arsenal ndio kapata ushindi wa kwanza Usiku wa Septemba 24 2016 jiji la London lilikuwa busy kwa upande wa mashabiki wa soka kwani mashabiki wa timu kubwa za Arsenal na Chelsea walikuwa busy kufuatilia mchezo dhidi ya vilabu vyao ambavyo vyote vinatokea nd… Read More
VIDEO: Magoli ya mechi ya Simba vs Majimaji Septemba 24, Full Time 4-0 Jumamosi ya Septemba 24 2016 wekundu wa Msimbazi Simba ambao wanaelekea kucheza mchezo wao na watani zao wa jadi Yanga, walicheza mchezo wao wa sita wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Majim… Read More
Valencia CF wamtimua kocha wao Pako Ayesteran Klabu ya Valencia CF imetangaza kumfukuza kazi meneja Pako Ayesteran kufuatia kufanya vibaya kwa kikosi hicho kuwa na mwenendo mbaya tangu walipoanza msimu wa 2016/17. Valencia CF wamemfukuza Ayesteran baada ya miezi sit… Read More
Video: Maneno ya Samatta baada ya Paul Pogba kufunga goli Septemba 24 2016 klabu ya Man United ya England ilicheza mchezo wake wa sita wa Ligi Kuu England huku ikiwa na kumbukumbu ya vipigo vitatu mfululizo, Man United safari hii ilishuka katika dimba lake la Old … Read More
Mwanasoka wa Sierra Leone afariki katika ajali mbaya ya gari Aliyekuwa mwanasoka wa kimataifa, raia wa Sierra Leone, Mamadu Alphajor Bah amefariki dunia katika ajali mbaya ya barabarani iliyofanyika karibu na mji mkuu wa nchi hiyo Freetown. Mamadu Alphajor Bah aliwahikucheza soka ya … Read More
0 comments:
Post a Comment