Latest News
Loading...

TAZAMA PICHA ZA MTOTO MWENYE NGOZI YENYE MABAKA KAMA YA NYOKA


NIWAKATI MWINGINE WA BISHOST ELIZABETH MICHAEL aka LULU.

MUIGIZAJI machachari wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema baada ya kupata misukosuko ya kimaisha, sasa maisha yake ameyaelekeza katika sala kumuomba Mungu amsamehe makosa yake.

Lulu alisema hayo juzi, katika kipindi cha Friday Night Live (FNL), kinachorushwa na kituo cha Televisheni cha EATV cha Jijini Dar es Salaam.

“Sasa hivi nasali sana, namuamini Mungu katika maisha yangu na mbali ya kwenda kanisani, pia nasali mwenyewe katika sala zangu.

“Ningependa maisha ya sasa ninayoishi ningeishi siku za nyuma, lakini yote ya Mungu labda maisha yale nisingeyaishi siku za nyuma, ningekuja kuyaishi baadaye,” alisema Lulu.
Katika hatua nyingine, alisema anavutiwa na kazi ya msanii wa bongo fleva, Bernard Paul ’Ben Pol’ ambaye tungo za nyimbo zake zinamkosha kuzisikiliza

MADEE AKUMBWA NA DHAHAMA 

ALIPOWASILI NCHINI SOUTH AFRICA

Kwa takribani yapata wikii mbili sasa tokea tuhuma za
madawa ya kulevya kushamili
nchini hususani watanzania wanojishugulisha na maswala hayo....
Karibuni kulizuka tuhuma ambazo za kweli kwa watanzania
kukamatwa na madawa
ya kulevya nchini Afrika ya kusini na hii inaleta mtafaruku ya
ushirikiano wa baina ya
nchi na nchi...
Msanii Madee kutoka Tip Top cinnection jana aliwasili
nchi Afrika ya kusini
na alivyowasili anasema alivyojulikana anatoka Tanzania
aliwekwa pembeni kwa
takribani zaidi ya saa 1 na kusachiwa kuojiwa sana baada ya hapo
kuruhusiwa kuondoka
uwanjani hapo...
Anasema baaada ya kutaja anatokea Tanzania walikuwepo
askari waliovalia sare
walimuamuru kuvua tshirt na kubakia na nguo nyepesi ya
ndani hadi kumkagua
mabegi yake huku abiria aliokuwa amesafiri nao ndege
moja walipita
bila matatizo yoyote...
Sehemu yenyewe ambayo alivuliwa nguo sio kwenye
chumba maalumu
ilikuwa pale pale kwenye mstari,lakini baada ya ukaguzi
walimomba msamaha
na kumruhusu kuendelea na safari yake....!!

Soma zaidi: http://mwanahabariuswazi.blogspot.com/2013/07/soma-hapa-kilichomkuta-madee.html#ixzz2aeTNdxS5

Mshiriki wa Tanzania aliyetolewa Big Brother 2013 "The Chase" NANDO AKIWA NA TEAM NZIMA YA JAHAZI NDANI YA STUDIO ZA CLOUDS FM

 Mshiriki aliyetolewa Big Brother 2013 "The Chase" Jumapili iliyopita Amm Nando akiwa na Mussa Hussein (katikati) na Wasiwasi Mwabulambo kwenye Jahazi hii leo.
 Ammy Nando akiwa na Mtayarishaji wa kipindi cha Jahazi la Clouds FM Emmanuel Likuda.

ujio mpya wa tekinojia

Tazama technolojia ya usanifu majengo ilivyo shika kasi