MADEE AKUMBWA NA DHAHAMA
ALIPOWASILI NCHINI SOUTH AFRICA
Kwa takribani yapata wikii mbili sasa tokea tuhuma za
madawa ya kulevya kushamili
nchini hususani watanzania wanojishugulisha na maswala hayo....
Karibuni kulizuka tuhuma ambazo za kweli kwa watanzania
kukamatwa na madawa
ya kulevya nchini Afrika ya kusini na hii inaleta mtafaruku ya
ushirikiano wa baina ya
nchi na nchi...
Msanii Madee kutoka Tip Top cinnection jana aliwasili
nchi Afrika ya kusini
na alivyowasili anasema alivyojulikana anatoka Tanzania
aliwekwa pembeni kwa
takribani zaidi ya saa 1 na kusachiwa kuojiwa sana baada ya hapo
kuruhusiwa kuondoka
uwanjani hapo...
Anasema baaada ya kutaja anatokea Tanzania walikuwepo
askari waliovalia sare
walimuamuru kuvua tshirt na kubakia na nguo nyepesi ya
ndani hadi kumkagua
mabegi yake huku abiria aliokuwa amesafiri nao ndege
moja walipita
bila matatizo yoyote...
Sehemu yenyewe ambayo alivuliwa nguo sio kwenye
chumba maalumu
ilikuwa pale pale kwenye mstari,lakini baada ya ukaguzi
walimomba msamaha
na kumruhusu kuendelea na safari yake....!!
Soma zaidi: http://mwanahabariuswazi.blogspot.com/2013/07/soma-hapa-kilichomkuta-madee.html#ixzz2aeTNdxS5
0 comments:
Post a Comment