Mshiriki wa Tanzania aliyetolewa Big Brother 2013 "The Chase" NANDO AKIWA NA TEAM NZIMA YA JAHAZI NDANI YA STUDIO ZA CLOUDS FM
Mshiriki aliyetolewa Big Brother 2013 "The Chase" Jumapili iliyopita Amm
Nando akiwa na Mussa Hussein (katikati) na Wasiwasi Mwabulambo kwenye
Jahazi hii leo.
Ammy Nando akiwa na Mtayarishaji wa kipindi cha Jahazi la Clouds FM Emmanuel Likuda.
0 comments:
Post a Comment