Mchezaji raia wa Ivory Coast Serge Aurier, ambaye anaichezea klabu ya Paris St-Germain (PSG), amehukumiwa kifungo cha miezi miwili jela kwa kumgonga afisa wa polisi.
Aurier pia alipigwa na faini ya dola 674 kutokana na kosa hili lilotokea kwenye klabu ya burudani mwezi Mei mjini Paris.
Hata hivyo atabaki kuwa huru akisubiri rufaa, ambayo ikiamliwa ataweza kuichezea PSG katika ligi ya mabingwa siku ya Jumatano.
0 comments:
Post a Comment