Msanii Masai wa Kigoma kama anavyo jiita ameachia wimbo mpya unaitwa “Sinasi”. Huu ni wimbo ambao upo katika maadhi ya muziki wa Singeli sikiliza hapa.
Latest News
Loading...
Music: Masai Wa Kigoma – Sinasi
Related Posts:
Kadjanito adai ndoa haitomtenganisha na muziki Msanii wa Bongo Flava, Khadija Said Maige, maarufu kama Kadjanito amesema licha ya kufunga ndoa, muziki ataendelea kuufanya kama kawaida. Muimbaji huyo atafunga ndoa na mchezaji wa mpira, Tresor Lisimo, Jumamosi hii, Oktoba … Read More
Diamond, Alikiba, Vanessa, Navy Kenzo, AY watajwa kuwania tuzo za WatsUp TV Ghana Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Navy Kenzo, AY, Mayunga, Harmonize na Ray Vanny wametajwa kuwania tuzo zaWatsUp TV Africa Music Video Awards – WAMVA16 za Ghana. Hivi ndio vipengele ambavyo wasanii wa Tanzania wametaj… Read More
Video: Diamond awasili kwenye mjengo wake wa SA, awapa madongo waliosema si wake Afrika Kusini sasa imekuwa nyumbani kwingine kwa Diamond baada ya kununua nyumba ya kifahari iliyopo jijini Pretoria. Baada ya kutangaza kununua nyumba hiyo iliyomgharimu zaidi ya shilingi milioni 400, maneno mengi yalise… Read More
Music: Masai Wa Kigoma – Sinasi Msanii Masai wa Kigoma kama anavyo jiita ameachia wimbo mpya unaitwa “Sinasi”. Huu ni wimbo ambao upo katika maadhi ya muziki wa Singeli sikiliza hapa. … Read More
Picha: Show ya Diamond Malawi yafana licha ya mvua kubwa kunyesha Licha ya mvua kubwa kunyesha, Diamond amefanikiwa kupiga show iliyofana kwenye Sand Music Festival iliyofanyika kwenye fukwe za Living stone Jumamosi hii. Mpiga picha wake, Kifesi amedai kuwa mvua kubwa ilinyesha na kulaz… Read More
0 comments:
Post a Comment