Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Mr. II, Sugu) ameingia studio MJ Records na kutimiza ahadi yake ya kurudi kwenye game ya bongofleva ambapo alikaa kimya kutokana na kuchaguliwa tena kuwa Mbunge kwa awamu ya pili kuliongoza Jimbo la Mbeya Mjini.
Profesa Jay na Producer Master J ni miongoni mwa wataotokea kwenye hiyo video mpya ya Mr II
Msanii wa hiphop Roma Mkatoliki naye yumo ndani
Profesa Jay na Mr II
Location ya video ni Dar es salaam
Profesa Jay na Hartman Mbilinyi
Roma Mkatoliki, Shaa na Master J
Video bado inaendelea kutengenezwa
Hanscana ambaye aliwahi kushinda tuzo ya Director wa video anaependwa Tanzania kwenye TUZO ZA WATU ndio anausimamia huu mzigo wa Mr. II
Mr II
0 comments:
Post a Comment